VITA KATI YA HEZBOLLA NA ISRAELI
vita kati hezbolla na israeli vilianza baada ya ulipuzi wa vifaa vya mawasiliano vya hezbolla siku ya jumanne tarehe kumi na saba septemba. vifaa vilivyoibiwa vililipuka vilivyopokea alama za siri kwa lugha ya kimombo( coded signals )kupitia masafa ya redio kwa lugha nyingine( radio signals).
Milipuko hiyo nchini lebanoni iliweza kuwaua watu kumi na wawili huku ikiwaacha takriban watu 2,750 na majeraha. Shambulio hilo lilifuatia kururushwa kwa kombora karibu na kituo cha uchumi cha I sraeli ncnini tel aviv na wanamgmbo wa hezbolla.Israeli pia imerusha. Vile vile jeshi la ulinzi la iraeli imerusha makombora kadhaa nchini Beruit huku kiongozi mkuu wa hezbolla Hassab Nasralla akilengwa.
Vita hivi vimesababisha vifo vya vya takriban watu mia tano watoto wakiwa hamsini. Maelfu ya watu pia wamelazimika kuhama makwao kufuatia mashambulio makali dhidi ya israeli na hezbolla. Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Natanyahua aliilaumu serikali ya Hesbolla kwa kutumia watu kama ngao huku akidai kwamba alikua ashawataarifu wananchi wa Hezbolla eneo la shambulio kutumia ujumbe mfupi na radio.
Mzozo dhidi ya israeli na hezbolla ulianza miaka ya mia kenda themanini na mbili (1982). Uvamizi huo uliitwa UVAMIZI WA PILI WA ISRAELI HUKO LEBANON ambao ulianzishwa kufuatia majaribio ya mauaji ya balozi wa Israeli nchini ungereza na kundi la kigaidi. Israeli ililaumu Chama cha ukombozi cha palestina kilichoendeshwa kusini mwa lebanon kuhusika.
Umoja wa kimataifa kupitia katibu mkuu Antonio Gutierrez umepea mataifa haya mawili siku ishirini na Moja ili kuafikia suluhisho mwafaka.





Comments
Post a Comment